TEHRAN (IQNA) – Sauti ya adhana imesikika baada ya miaka 28 katika msikiti wa kihistoria Yukhari Govhar Agha katika mji wa Shusha ulioko eneo linalozozaniwa baina ya Jamhuri ya Azeribajan na Armenia la Nagorno-Karabakh.
Habari ID: 3473354 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/12